Skip to main content
Skip to main content

Vazi lililotengenezwa kwa mikate 500 lashangaza watu tuzo za filamu Afrika

  • | BBC Swahili
    3,289 views
    Duration: 2:10
    Kuanzia vazi lililotengenezwa kwa mikate 500 na mbunifu maarufu wa Nigeria Toyin Lawani hadi gauni lililotengenezwa kwa waya za kusuguria sufuria na mbunifu maarufu Vekee James, haya ndiyo baadhi ya mavazi yaliyovutia na kuzungumziwa zaidi katika tuzo za AMVCA 2026, yakionyesha ubunifu wa hali ya juu na uthubutu wa mitindo ya Kiafrika. #bbcswahili #amvca #filamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw