vibanda vya wafanyabiashara 500 kando kando ya barabara ya Desai katika eneo la Ngara zabomolewa

  • | KBC Video
    Takriban wafanyabiashara 500 kando kando ya barabara ya Desai katika eneo la Ngara,kaunti ya Nairobi wanakadiria hasara baada ya vibanda vyao kubomolewa leo asubuhi .Wafanyabiashara hao ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakiendesha shughuli zao kwenye ardhi hiyo ya shirika la reli nchini ,wanasema hakuwa na habari wala kupewa muda wa kuhama Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive