- 722 viewsDuration: 2:19Wanakijiji wa Alungo kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara baada ya viboko kuvamia mashamba yao. Wamakijiji hao wanasema kuwa viboko hao ambao hujitokeza usiku wameongezeka msimu huu wa mvua na sasa wanahofia kuwa huenda wakavamia binadamu. wakazi hao sasa wamelazimika kukesha kulinda mashamba yao