Video iliyotolewa na Hamas yaonyesha wakilenga Jeshi la Israel

  • | VOA Swahili
    306 views
    Video iliyotolewa na Hamas mnamo Jumatano (Novemba 22) inasemekana kuonyesha tawi lake la kijeshi, Al-Qassam Mujahideen, wakilenga magari na wanajeshi wa Israeli ndani ya Gaza. Hata hivyo Shirika la Habari la Reuters haikuweza kuthibitisha kutoka yvanzo huru tarehe ambayo video hiyo ilirekodiwa. #Hamas #Israel #Alqassam #palestina