Video ya binti wa rais akiombewa yazua gumzo mtandaoni

  • | BBC Swahili
    1,726 views
    Bi Charlene alikuwa miongoni mwa maelfu ya watu waliohudhuria maombi ya misa ya mhubiri wa Marekani Benny Hinn mwishoni mwa juma katika jiji kuu la Nairobi. - Rais William Ruto na mke wa rais, pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua na mkewe, Dorcas, pia walihudhuria. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw