Vifo vya Mapadre nchini

  • | Citizen TV
    2,093 views

    Hofu imegubika kijiji cha Tot eneobunge la Marakwet East baada ya padre wa kanisa katoliki kuuawa na majangili. Padre huyo Alloyce Bett Cheruiyot alikuwa eneo hilo la Elgeyo Marakwe kwa shughuli za amani. Haya yamejiri huku padre mwingine wa kanisa katoliki aliyeuawa wiki jana akizikwa eneo la Nyahururu.