Vifo vya watu wanne ambao ni wafuasi wa dhehebu tata Kilifi vyavutia hisia kali nchini

  • | Citizen TV
    1,941 views

    Vifo vya watu wanne ambao ni wafuasi wa dhehebu tata katika kaunti ya Kilifi vinaendelea kuvutia hisia kali huku waliokuwa waumini wakijitokeza kuelezea waliyoyapitia. Kanisa hilo la good news international huwashurutisha wafuasi wake kufunga kula wala kunywa usiku na mchana, mbali na kupiga marufuku masomo na matibabu hospitalini wakiamini kuwa wanaougua wanafaa kuombewa.