- 1,615 viewsDuration: 2:35Idadi ya watu waliofariki kufuatia maporomoko ya ardhi eneo la Chesongoch, kaunti ya Elgeyo Marakwet imefikia 26. Hii ni baada ya miili mingine 4 kupatikana hii leo. Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen aliyezuru tena eneo hilo akisema serikali inaendelea na juhudi za kuwatafuta watu wengine 25 ambao hawajulikani waliko hadi sasa.