Vihiga Bullets yapokea kichapo

  • | Citizen TV
    467 views

    Mshambulizi mpya wa Gor Mahia Patrick Kaddu alifunga mabao matatu na kuiwezesha Gor Mahia kuitandika Vihiga Bullets mabao 5-0 kwenye mechi ya ligi kuu ya taifa ya kandanda katika uwanja wa Kasarani.