Vihiga Queens yaanza vyema mashindano ya ubingwa ya CECAFA

  • | Citizen TV
    394 views

    Mabingwa wa ligi kuu ya kandanda ya wanawake nchini kenya vihiga queens walianza vyema mashindano ya klabu bingwa ya cecafa baada ya kuiadhibu New Generations kutoka Zanzibar mabao 3-1 nchini Uganda.