Vijana 15 pekee wasajiliwa kujiunga na KWS Machakos

  • | Citizen TV
    68 views

    Shirika la huduma kwa wanyamapori KWS limesajili vijana 15 kutoka kaunti ya Machakos kujiunga na kikosi hicho.