Vijana 1,500 wanapokea mafunzo ya kisasa ya kilimo Kwale

  • | Citizen TV
    116 views

    Vijana 1500 kutoka kaunti ya Kwale wamepata mafunzo kuhusu mbinu za kisasa za kilimo ili kujipatia ajira kupitia kilimo hicho