Vijana 200 wa genge la uhalifu Malindi wamekamatwa tangu mwezi Januari

  • | KBC Video
    38 views

    Kundi la genge la vijana wahalifu ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakazi wa mji wa Malindi katika kaunti ya Kilifi limetiwa mbaroni. Hatua hii inafuatia lalama za wakazi kuhusu shughuli za genge hilo ambalo limekuwa likiwakosesha usingizi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive