Vijana 500 kutoka Kilifi wanufaika na ufadhili wa elimu itakayowawezesha kupata ajira

  • | Citizen TV
    204 views

    Vijana 500 kutoka kaunti ya Kilifi wamenufaika na ufadhili wa elimu itakayowawezesha kupata mafunzo kupitia njia ya mtandao ili wajitafutie ajira