Vijana elfu mbili wanufaika kufuatia mpango wa ustawishaji

  • | Citizen TV
    135 views

    Vijana zaidi ya 2000 kutoka eneo la magarini kaunti ya kilifi wamefaidika na mradi wa Kilimo cha matunda kwa lengo la kuwapa Ajira sawia na kuongeza mapato kwani eneo hilo limekua likiathirika na hali ya umasikini unaotokana na ukame wa mara kwa mara.