Vijana eneo la Konjera, Tingolo wameandaa michezo ya soka mshindi akipewa mandazi na chai ya maziwa

  • | West TV
    122 views
    Michuano ya soka ilifadhiliwa sana wakati wa likizo, wengine wakitoa zawadi ya hadi shilingi milioni 3 kwa washindi, ila vijana katika kijiji cha Konjera kata ndogo ya Tingolo eneo bunge la Butula kaunti ya Busia nao wameandaa kipute cha soka miongoni mwao, tuzo kwa mshindi likiwa kikombe cha chai ya maziwa na mandazi manne.