Vijana katika mji wa Maili 46 kaunti ya Kajiado wanufaika na ujuzi wa uchoraji

  • | KBC Video
    33 views

    Zaidi ya vijana 50 katika mji wa Maili 46 katika kaunti ndogo ya Kajiado Magharibi wamepata fursa ya kipekee ya kuboresha ujuzi wao uchoraji kupitia mradi maalumu wa kurembesha mji huo. Wakati wa awamu ya kwanza ya mradi huo kwa jina mji wa sanaa,vijana 10 walipokea mafunzo kuhusu uchoraji kutoka kwa watalaamu.Kwa maelezo ya kina ni katika taarifa yake Yusuf Farah hapo mwendo wa saa tatu usiku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #art #darubiniwikendi