Vijana kaunti ya Kajiado watumia sanaa kutoa hamasisho ya umuhimu wa kutunza mazingira

  • | Citizen TV
    260 views

    Kundi la Vijana katika kaunti ya Kajiado linajihusisha na utumizi wa sanaa katika kutoa hamasisho ya kuhifadhi mazingira na kukabili athari za mabadiliko ya hali ya anga. Vijana hawa waliozindua wimbo maalum kwa juhudi hizi wakiendeleza kampeni hii kaunti za Narok, Kajiado na Samburu.