Vijana kaunti ya Nandi wahimizwa kujihadhari na matapeli wa ajira

  • | Citizen TV
    132 views

    Katibu Msimamizi wa Maendeleo ya Kazi na Ujuzi kwenye ya Wizara ya Kazi na Ulinzi wa Jamiii Herman Shambi amewataka wakenya wenye ari ya kufanya kazi ughaibuni kutumia mikakati iliyowekwa na serikali ikiwemo ile ya kuthibitisha ajira hiyo katika mitandao ya serikali ili kuzuia vijana kuhadaiwa na matepeli