Vijana kunufaika na mafunzo ya kidijitali Bungoma

  • | Citizen TV
    95 views

    Maelfu ya vijana kutoka kaunti za Bungoma na Kakamega watanufaika na elimu dijitali ili kuwawezesha kupata ajira za mtandaoni. Mafunzo hayo yakiwemo ya akiliunde yatafanikishwa na kampuni za teknolojia ikiwemo INUA AI kwa ushirikiano na kaunti.