Vijana kutoka Butere na Mumias washauriwa dhidi ya mihadarati

  • | Citizen TV
    145 views

    Vijana kutoka eneobunge la butere na eneo Bunge La Mumias Magharibi kaunti ya Kakamega wameshauriwa kujitenga na utumizi wa mihadarati pamoja na mahusiano ya kimapenzi wakiwa wangali wadogo ili kuzuia mimba za utotoni ambazo zimesababisha wanafunzi wengi kukosa kuendelea na masomo yao.