Vijana kutoka Kajiado wahimizwa kuchukua mikopo ya kuanzisha biashara

  • | Citizen TV
    288 views

    Kama Njia Moja ya kupiga jeki Biashara Ndogo ndogo, serikali kupitia mpango wa Hustler Fund Inapanga kuanzisha hazina nyingine kwenye mpango huo ili kuwapa vijana pesa za kuendeleza bishara zao. Hata hivyo Vijana na wafanyibisahra wadogo wadogo wamehimizwa kuchukua mikopo inayotolewa na serikali kupitia mipango mbali mbali ili kupata mtaji wa kuanzisha Biashara .