Vijana Laikipia wanazidi kukashifu visa vya ukatili

  • | Citizen TV
    307 views

    Vijana katika kaunti ya Laikipia wanazidi kukashifu visa vya ukatili vinavyotekelezwa na maafisa wa usalama wakati wa maandamano.