Vijana Makueni waandaa mdahalo wao

  • | Citizen TV
    692 views

    Vijana kaunti ya Makueni hii leo wanafanya mkutano wa kujadili masuala mbalimbali yanayowakabili haswa masuala ya uongozi na pia kujadili matukio ya maandamano ya siku ya sabasaba. Mkutano huo unaandaliwa chini ya mwavuli wa TUBONGE GOVERNANCE. Michael Mutinda anaungana nasi moja kwa moja kutoka wote Makueni.