Vijana kutoka kaunti ya Migori wamekutana katika eneo la Kuria Magharibi kwa lengo la kujadili masuala yanayowahusu.
Katika mkutano huo, vijana walijumuika kusikiliza maoni, changamoto pamoja na mapendekezo kuhusu maendeleo, ajira, ujasiriamali na nafasi yao katika ujenzi wa taifa. Vijana hao ambao ni wataalamu katika sekta tofauti walizungumzia njia za kuhakikisha wanapata fursa, msaada na ushirikiano utakaowawezesha kutimiza malengo yao. Aidha walisisitiza kuwa lengo lao ni kutojihusisha katika siasa za mgawanyiko wala kukubali kutumiwa vibaya ma wanasiasa