Vijana na wanawake kutoka Kisauni wataka serikali kuongeza hazina ya uwezo

  • | Citizen TV
    239 views

    Vijana Na wanawake kutoka Kisauni wametaka serikali kuongeza hazina ya uwezo ili kuwawezesha kuchukuwa mikopo itakayowanufaisha zaidi.