Vijana na wanawake wahimizwa kubuni makundi kunufaika na fedha za serikali

  • | KBC Video
    19 views

    Wanawake humu nchini wamepewa changamoto ya kijitosa katika biashara ambazo zinaweza kuwaongezea kipato ili kuweza kujitegemea kifedha. Innocentia Mabaso kutoka shirika la Tupperware nchini Afrika Kusini, amesema wanawake wanawajibika zaidi katika kuweka akiba, na iwapo watepewa uwezo basi wanaweza kuinua familia kwa urahisi na pia kubadilisha hali ya uchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News