Vijana Samburu washirikishwa kwenye michezo

  • | Citizen TV
    76 views

    Uhasama wa tangu jadi baina ya jamii za wafugaji za Wasamburu na waturkana katika kaunti ya Samburu, umewashinikiza wadau kuwashirikisha vijana wanarika kutoka jamii hizo kwenye michezo,kama njia Moja wapo ya kueneza uwiano na utangamano.