Vijana Trans Nzoia wataka vizingiti kwa Maendeleo Trans Nzoia kuondolewa

  • | West TV
    48 views
    Baadhi ya vijana kutoka kaunti ya Trans Nzoia wamewanyoshea kidole cha lawama baadhi ya wakazi wanaomwekea Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia vizingiti kwenye utenda kazi wakisema inahujumu na kuchelewesha maendeleo kaunti hiyo