Vijana wa jamii ya wamasai Kajiado wapata mafunzo ya mabadiliko ya tabia nchi

  • | Citizen TV
    107 views

    Vijana wa jamii ya wamasai katika kaunti ya Kajiado wamehamasishwa kuhusiana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi. vijana hao wametakiwa kutafuta njia mbadala za kujikimu kimaisha ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga.