29 Jul 2026 1:35 pm | Citizen TV 235 views Duration: 2:03 Vijana kutoka kaunti ya Kajiado wamehimizwa kukumbatia masomo ya vyuo vya Anuia TVET ili kupata ujuzi wa kujiajiri na hivyo kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira inayowakumba vijana wengi nchini.