- 210 viewsDuration: 3:22Vijana Kajiado wametakiwa kuwa katika mstari wa mbele kutunza mazingira kwa kuendeleza mbinu bora za ufugaji ambazo haziharibu mazingira. Hatua hiyo zitasaidia kupiga jeki juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga.Vijana hao pia wametakiwa kukomesha ukataji wa miti kiholela