Vijana wa machungani waathirika zaidi Kajiado Magharibi

  • | Citizen TV
    63 views

    Mlipuko wa ugonjwa wa kala-azar unazidi kuwatatiza wakazi wa maeneo mbali mbali ya kajiado magharibi . Visa vingi vinazidi kuripotiwa katika vituo mbali mbali vya afya katika eneo hilo