Vijana wa mji wa Suguta, kaunti ya Samburu walalamika kwa kukosa ajira

  • | Citizen TV
    67 views

    Vijana katika mji mdogo wa Suguta na viungani vyake kaunti ya Samburu wamelalamikia ukosefu wa ajira,licha ya kuwa baadhi Yao wamefuzu kutoka vyuo mbali mbali. hali inayowashinikiza Vijana wengi kuwa waraibu wa dawa ya kulevya.