Vijana wa Taita Taveta wahimizwa kuhusika na masomo ya kuendesha gari

  • | Citizen TV
    64 views

    Ni afueni kwa vijana 64 katika wadi ya Bura kaunti ya Taita Taveta baada ya kuanza masomo ya kuendesha magari sawa na kupewa karo kwa ajili ya kuendeleza masomo ya vyuo vya kiufundi