Vijana wa Tanzania wabuni mashine ya kuchakata mazao aina tisa.

  • | BBC Swahili
    433 views
    Mashine hiyo imeelezwa kuwa mkombozi kwa wakulima haswa wenye kipato cha chini. Hii imesababisha kuwepo kwa mahitaji mkubwa ya teknolojia hiyo katika soko la Tanzania, Kenya, Zimbabwe, Uganda na Zambia. Mwandishi wa BBC, Alfred Lasteck @lasteck2023 alitembelea kiwanda hicho kilichopo Arusha, Kaskazini mwa Tanzania... 📹Eagan Salla #bbcswahili #kilimo #ubunifu