Skip to main content
Skip to main content

Vijana wa Tebere kaunti ya Kirinyaga wageukia kilimo kukabiliana na msongo wa mawazo

  • | Citizen TV
    64 views
    Baadhi ya vijana kutoka eneo la Tebere Kaunti ya Kirinyaga wamegeukia kilimo kama njia mojawapo ya kukabiliana na msongo wa mawazo huku wakijitafutia riziki.