Vijana wa vyuo vikuu wapata mafunzo Kisii

  • | Citizen TV
    108 views

    Hafla ya siku tatu ya kuhamasisha mashirika na vijana wa vyuo vikuu inaendelea mjini Kisii kwa lengo la kutoa mafunzo kuhusu sheria na majukumu ya kijamii. Hafla hiyo inalenga kutoa hamasa kuhusu umuhimu wa stakabadhi za kitaifa kwa wakenya na vikundi vya kijamii