Vijana waandishi wa habari wanavyokabiliana na mabadiliko ya kidigitali

  • | BBC Swahili
    370 views
    ‘’Kama vyuo vikuu havitabadikika kwa sasa watajikuta wanatengeneza wahitimu ambao soko litawakataa” – Dotto Bulendu Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania kwa kwa mara ya kwanza ilitoa leseni kwa vyombo vya habari mtandao mwaka 2018 baada ya kuweka kanuni na miongozo ya kuwawezesha kufanya kazi kwa mujibu wa sheria Wakati kukiwa namabadiliko yote haya wapo baadhii ya wanafunzi katika vyuo vya uandishi wa habari wanaiona mitandao ya kijamii kama kitovu cha upotoshaji Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds_ ametuandalia taarifa ifuatayo #bbcswahili #bbcswahili65 #uandishiwahabari #mitandaoyakijamii