Vijana wabuni mbinu za kufikisha ujumbe kwa serikali Kenya

  • | BBC Swahili
    566 views
    Ni miezi miwili sasa tangu maandamano ya vijana wa Gen Z nchini Kenya kushuhudiwa, wengi wakitaka uwajibikaji serikalini. Maandamano hayo yamefifia kwa sasa, lakini baadhi ya wananchi wanaongeza shinikizo kwa serikali kupitia mbinu mbalimbali. Willie Oeba yeye amekuwa akifikisha ujumbe kwa kutoa burudani katika maeneo kama kwenye ndege na mabasi. Je hatua hii ya vijana katika siasa italeta mabadiliko ya kweli? Mwandishi wa BBC @pmwangangi_ ameandaa taarifa hii. 🎥: @brianmala & @frankmavura #bbcswahili #kenya #GENZ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw