Vijana wabunifu waonyesha suluhu za kiteknolojia kwenye Kongamano la Ugatuzi Homa Bay

  • | NTV Video
    28 views

    Vijana hawajaachwa nyuma kwenye kongamano kuhusu ugatuzi linayofanyika katika kaunti ya Homa Bay, kwani wametumia ubunifu kutokana na programu spesheli inayosaidia serikali za kaunti mbali mbali katika uendeshaji wa sekta tofauti kama vile kuweka recodi za hospitali, mfumo wa mapato, pamoja na usimamizi wa rasilimali.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya