Skip to main content
Skip to main content

Vijana wafunzwa jinsi ya kupata riziki kupitia sanaa Taita taveta

  • | Citizen TV
    20 views
    Vijana kaunti ya Taita Taveta hasa wanaofanya sanaa ya uigizaji, kuimba na kutengeza filamu wamefaidika kwa elimu ya jinsi wanaweza kupata mapato zaidi kutokana na sanaa hizo hasa kupitia mtandao ya kijamii. Kulingana na waundaji maudhui idadi kubwa ya vijana humu chini sasa wamejiajiri kupitia mitandao kama vile youtube na facebook baada ya kutambua talanta zao. Aidha vijana wametakiwa kuwa wabunifu zaidi katika sanaa ili kuwapa nafasi bora zaidi wakati akili unde (AI) inapoonekana kutumika kutengeza filamu fupi pufi.