- 401 viewsDuration: 1:55Wadau kutoka sekta mbalimbali za elimu kutoka taifa la Marekani wamezuri Kenya kwa lengo la kutoa hamasisho kwa vijana hususan walio katika shule za upili jijini Nairobi na kaunti ya Kisii kuhusu maswala ya uadilifu na uongozi bora.