Vijana wahimizwa kudumisha amani

  • | KBC Video
    1 views

    Mratibu wa mradi wa kujenga amani Fred Odera amewataka vijana kudumisha amani na kushiriki kikamilifu katika miradi ya maendeleo ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii. akizungumza wakati wa warsha ya mafunzo kuhusu ujasirimali kwa vijana iliyoandaliwa na shirika la kijamii la Lunga-Lunga kwa ushirikiano na wizara ya vijana ,huko Lunga-Lunga katika kaunti ya Kwale, Odera aliwahimiza vijana kujitokeza kuleta mabadiliko kwa kuwa wana fursa ya kipekee ya kuleta maendeleo iwapo watashiriki katika miradi lengwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive