Vijana wahimizwa kuendelea kupanda miti

  • | Citizen TV
    155 views

    Wito Umetolewa Kwa Vijana Katika Kaunti Ya Busia Kuendelea Kupanda Na Kukuza Miti Kama Njia Moja Ya Kujiimarisha Kiuchumi Mbali Na Kusaidia Kupambana Na Mabadiliko Ya Tabianchi. Wito Huu Umetolewa Na Naibu Kamishna Wa Kaunti Ndogo Ya Butula Pamela Otieno Alipoongoza Zoezi Linaloendelea Katika Eneo Hilo La Upanzi Wa Miche Zaidi Ya 7000 Katika Kaunti Ndogo Ya Butula.