Vijana wahimizwa kufanya kazi ya hiari ili kujiongezea maarifa

  • | KBC Video
    9 views

    Serikali imehimizwa kusimamia utekelezaji wa sera ya kitaifa ya kufanya kazi ya kujitolea iliyobuniwa mwaka 2015. Sera hiyo inatoa mwongozo wa kisheria na ushirikishi katika sekta ya kazi ya kujitolea. Akiadhimisha siku ya kimataifa ya kazi ya kujitolea, msimamizi wa kimaeneo wa wafanyakazi wa kujitolea wa umoja wa mataifa Lucy Ndung'u aliwataka vijana kuhimiza kazi ya kujitolea ili kuimarisha ujenzi wa taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #kaziyahiari #News