VIJANA WAHIMIZWA KUTUMIA MICHEZO KAMA AJIRA

  • | KNA Video
    5 views
    Huku michuano ya shule za sekondari ikielekea katika ngazi ya mikoa, vijana wamehimizwa kutumia michezo kama mbinu mojawapo ya kupata kipato. Akizungumza mjini Kilifi wakati wa michezo hiyo, Katibu wa idara ya vijana na Uchumi bunifu Fikirini Jacobs amesema kuwa kando na michezo ya spoti kuwa kiunganishi katika jamii ni mbinu mwafaka ya kubuni ajira kupitia talanta miongoni mwa vijana.