Skip to main content
Skip to main content

Vijana wajitokeza kwa wingi kujiandikisha kupiga kura

  • | Citizen TV
    812 views
    Duration: 3:22
    Maelfu ya vijana wamejitokeza katika vituo vya kujisajili kama wapiga kura katika maeneo tofauti nchini kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao. Kufikia saa kumi na moja leo jioni, foleni zilikuwa ndefu sana tofauti kabisa na ilivyotarajiwa. Vijana hawa wanasema wako tayari kufanya maamuzi ya viongozi wao mwakani.