Vijana wakamilisha programu ya mafunzo ya amani Lamu

  • | NTV Video
    97 views

    Zaidi ya vijana mia moja kutoka kaunti ya Lamu wamekamilisha programu ya mafunzo ya amani iliyoandaliwa na taasisi ya amani ya kiuchumi (IEP) kwa ushirikiano na ubalozi wa Australia.

    Mafunzo hayo yalilenga kuhimiza amani na kupambana na itikadi kali ndani ya eneo hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya