Vijana wakatiza kwa muda hotuba ya Raila Odinga kwa hafla ya mazishi Matungu

  • | West TV
    223 views
    Waombolezaji wa tabaka mbalimali akiwemo kinara wa chama cha odm raila odinga na viogozi wengine wa kitafa wamehudhuria hafla ya mazishi ya mwendazake godliver omondi aliyekuwa mwakilishi maalum katika bunge la kaunti ya kakamega aliyefariki wiki mbili zilizopita, odinga akilazimika kusimamisha hotuba yake kwa muda baada ya baadhi ya vijana kuanza kutupa mawe.